Friday, August 7, 2009

duka la gesi laripuka kigamboni na kuzua kizaazaa jijini


mdau akipiga taswira ya banda la kuuzia gesi Kigamboni lililowaka moto na kutokea milipuko mikubwa asubuhi ya leo. mtu mmoja amejeruhiwa na nyumba kama tano hivi zimeharibika kutokana na mripuko huo ulioleta fadhaa kwa wakazi wa kigamboni na katikati ya jiji ambako milio ilisikika kama mabomu

No comments:

Post a Comment

commet here