Friday, September 4, 2009

DJ Bonny Luv kukosa Labour Weekend Bash DC

DJ Bonny Luv
Kamati ya maandalizi ya Bash la labor day Washington Dc,inasikitika kuwataarifu wadau na mashabiki wa Dj Bonny Luv kuwa kutokana na sababu za kifamilia,ujio wa Dj huyu mahiri umesitishwa mpaka hapo itakapoangazwa tena.
Poleni kwa usumbufu wote utakaotokea.
Ratiba ya Bash ipo pale pale kama
ilivyokua imepangwa.
Karibuni sana kapitali,
asanteni nyote

1 comment:

commet here