Friday, September 4, 2009
Pinda Atua Kenya

jide na gadna katika vekesheni sauzi
inaelelea mdudu wa vekesheni anazidi kungáta wadau mmoja baada ya mwingine. safari hii ni jide na mai hazbendi wake keptein gadna g. habash ambao hapo wanakula festiklasi kuelekea vekesheni sauzi. tatizo bibie mpenzi wa chelsea na mzee mzima ni bwawa la maini damu. hapo sasa.
taswira zaidi ya vekesheni hii nenda
www.ladyjaydee.blogspot.com
taswira zaidi ya vekesheni hii nenda
www.ladyjaydee.blogspot.com
roman abramovic to scale kilimanjaro mountain tomorrow

Chelsea FC's billionaire owner Roman Abramovich climbs Kilimanjaro Mountain for eight days starting tomorrow via the Shira Route in West Kilimanjaro via the Western Breach Wall, after that he goes back to London.
He arrived last night at around 8pm, slept at Rivertrees just outside maji ya chai in Arusha, and early this morning boarded a helicopter to Simba Farm where he spends the night before his Kili-trek tomorrow morning.
He will be back in London for the Tuesday, 15 September 2009 Uefa Champions LeagueChelsea v FC Porto at Stanford Bridge.
bao
Mandy akiwa kwenye picha ya pamoja na

Sema mkubwa habari za leo, pole na Swaumu kaka nimekutumia email hii uniweke hewani kwa wadau na mimi nimeingia kwenye libenekekaka.
watu wakitembelea humu watapata kujua mambo mbali mbali kuhusu mimi na RJ Company Tanzania kwa ujumla na masalwa ya moviesindustrie.ukiwa kama kiongozi kaka nachukua fursa hii kukuomba uitangaze kaka. www.raythemostgreat.blogspot.com
Wako Mtiifu.
Vincent Kigosi
(Ray the most great
watu wakitembelea humu watapata kujua mambo mbali mbali kuhusu mimi na RJ Company Tanzania kwa ujumla na masalwa ya moviesindustrie.ukiwa kama kiongozi kaka nachukua fursa hii kukuomba uitangaze kaka. www.raythemostgreat.blogspot.com
Wako Mtiifu.
Vincent Kigosi
(Ray the most great

Mandy akiwa kwenye picha ya pamoja na
Mh. Balozi, wenyeji wake, baba mzazi, Kocha na Maofisa wa Ubalozi
Mandy Juma Rajabu Furaji ni kijana mdogo wa Kitanzania aliyebahatika kupata ufadhili wa kuhudhuria chuo maalum cha kufundishia mchezo wa Tennis kiitwacho Tennis Avenue Academy hapa nchini Uingereza.
Kijana Mandy akiongozana na baba yake Bwana Juma Rajabu Furaji na wenyeji wao hapa Uingereza, Bwana na Bibi Mansela, walipata nafasi ya kutembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania hapa nchini Uingereza, na kupokewa na Mheshimiwa Balozi, Mwanaidi Senare Maajar, pamoja na maofisa wengine wa Ubalozini hapo.
Baada ya kufanyiwa majaribio kadhaa na Walimu na Wataalamu wa Chuo hiko wamefurahishwa na wameridhia na kipaji, kiwango na umakini wa kijana Mandy na kumzawadia Scholarship {Ufadhili} kwa Umahili wake alionao kwenye mchezo huo maarufu wa Tennis.
Ikumbukwe kuwa mchezo huo wa Tennis ni aghari sana nchini Uingereza na kwenye nchi zilizoendelea.
Mandy ataendelea na mafunzo yake ya Tennis chini ya Kocha wake na ambaye ni Mkurugenzi wa chuo hiko cha Tennis Avenue Academy kilichopo maeneo ya New Malden Surrey Bwana Hareen Wasantha.
Unaweza kutembelea chuo hiko kwenye mtandao hapa chini:-http://www.tennisavenue.co.uk/

MANDY JUMA FURAJI ATUA UINGEREZA KWA MAFUNZO YA TENNIS
DJ Bonny Luv kukosa Labour Weekend Bash DC

Kamati ya maandalizi ya Bash la labor day Washington Dc,inasikitika kuwataarifu wadau na mashabiki wa Dj Bonny Luv kuwa kutokana na sababu za kifamilia,ujio wa Dj huyu mahiri umesitishwa mpaka hapo itakapoangazwa tena.
Poleni kwa usumbufu wote utakaotokea.
Ratiba ya Bash ipo pale pale kama
ilivyokua imepangwa.
Karibuni sana kapitali,
asanteni nyote
cosmopolitan football club enzi hizo
Friday, August 7, 2009
duka la gesi laripuka kigamboni na kuzua kizaazaa jijini
Subscribe to:
Posts (Atom)